Ajali

Zilizonifikia kutoka Bungeni Dodoma na ajali ya kivuko Kilombero.. (+Picha)

on

Ninazo update mbili mpaka sasahivi mtu wangu, kwanza ni kutoka kwenye kikao cha Bunge Dodoma na nyingine kuhusu ajali ya kivuko kilichozama mto Kilombero.

Kutoka Dodoma >> Baadhi ya Wabunge wametoka nje ya Bunge baada ya Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson kuzuia Wabunge wasiendelee na kuomba mwongozo, Wabunge hao wakaamua kutoka huku Bunge hilo likiendelea kujadili hotuba aliyotoa Rais Magufuli wakati wa ufunguzi wa Bunge hilo.

Kutoka Kilombero, Morogoro >> Taarifa kuhusu ajali hiyo zilianza kusambaa asubuhi ya leo January 28 2016, Waziri Jenista Mhagama akatoa ufafanuzi ndani ya Bunge kwamba ni kweli ajali hiyo imetokea, kivuko kimezama kikiwa kimepakia watu na magari.

MHAGAMA

Kwenye taarifa hiyo Waziri Mhagama amesema watu 30 wameokolewa kati ya watu 31, jitihada zinaendelea kuokoa watu pamoja na mali.

AoyALkVj4s4qFR4KEXRtLmWsZwp09mBq1wPs1NqKpLu4

As5F2rR4FfspLDsW7OLdvFPZU5jCr2xes8Rb4faxz_9J

Au0FKmFyeKTUQUj0z5Y3sWq0t4L5Zn9wH1x1F8PcYrRU

AvUXFT07eNAPnsxu8I9FA99rYarPqV4dihIcEbW7MSkv

Picha za ajali >> Michuzi Blog

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments