Top Stories

Upepo mkali na Mvua zilizoathiri Nyumba 33 Morogoro, Bibi asimulia (video+)

on

Wakazi wa Kijiji Cha Kichangani wilaya ya Ulanga Mkoa Morogoro wamemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kuwapatia msaada baada ya paa za Nyumba zaidi ya 33 kuezuliwa kutokana Mvua ya upepo inayoendelea kunyesha katika wilaya hiyo .

 

MAKAMU WA RAIS MPANGO AFIWA NA KAKA YAKE, MAZISHI NI KASULU KESHO

Tupia Comments