AyoTV

VIDEO: Upinzani wasusa Vikao vya Bunge baada ya Mnyika kutolewa

on

Taarifa nilizozipokea mchana wa leo June 2, 2017 ni kutoka Bungeni Dodoma, ni taarifa ambayo inawahusu Wabunge wa Upinzani kuamua kutoka nje ya Bunge kupinga kitendo cha Spika Job Ndugai kumtoa Mbunge wa Kibamba John Mnyika.

Waziri aliyesoma Bajeti iliyopaswa kusomwa na Prof. Muhongo 

Soma na hizi

Tupia Comments