Habari za Mastaa

Urban hit 30 ya TRACE TV watanzania watatu tu

on

Leo July 31 2016  ninaendelea kukusogezea video za Bongo  ambazo zinaendelea kupata airtime katika vituo vikubwa vya TV, Trace Urban hit 30 wamezitaja video tatu tu kutoka Tanzania na wasanii walioingia kwenye listi hii ni Nedy Music na ngoma yake “usiende mbali“, Ali Kiba na “Aje” pamoja na Mayunga na ngoma yake “Please don’t go away” aliomshirikisha Akon

Nakusogezea video hizi mtu wangu pia usisahau kuniachia comment yako.

20160730_230936

20160730_233118

20160730_232326

ULIKOSA KUIONA VIDEO YA  NAVY KENZO KWENYE STAGE YA MISS TANZANIA 2016? ICHEKI VIDEO NIMEKUEKEA CHINI HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments