Habari za Mastaa

Top 10 ya urban hit 30, Video saba zimeshikiliwa na waafrika

on

Ni kawaida yangu kukuletea video zote zinazopata airtime katika vituo  vikubwa vya TV barani Africa, taarifa hii ikufikie Trace TV leo December 10 2016 imezicheza  hizi video 10 kwenye countdown ya Urban Hit 30 usisahau kuwa  Trace TV ni station ambayo ina mamilioni ya Watazamaji kwenye nchi mbalimbali za Afrika.

Katika Top 10 hii wasanii  kutoka Africa wamezichukua nafasi 7, unaweza kuitazama list nzimanimekuwekea hapa chini

20161210_135715

20161210_135801

20161210_135851

20161210_135938

20161210_140033

20161210_140104

20161210_140130

20161210_140212

20161210_140300

20161210_144145

VIDEO: Stamina katangaza collabo mpya na mkenya

Soma na hizi

Tupia Comments