Mix

VIDEO: Vitu 10 vya kufahamu kuhusu gari linalombeba Rais Donald Trump

on

Mtandao wa The Richest umetoa video iliyobeba maelezo ya vitu 10 vya kufahamu kuhusu gari linalombeba Rais wa Marekani likiwa ni gari lililotengenezwa kwa oda maalum na gharama yake ni tofauti kabisa na magari mengine ya brand hiyo.

Ni gari ambalo bomu au risasi havipenyi na lina spidi ya ajabu na pia Dereva ambaye analiendesha sio Dereva yeyote tu, wa hili gari ni aliyepatiwa mafunzo makubwa na kupambana na dharura yoyote inayoweza kutokea, bonyeza play hapa chini kutazama.

ULIPITWA? Tazama hapa chini video ya show ya Diamond Platnumz iliyovunja rekodi Marekani.

Soma na hizi

Tupia Comments