Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Waziri wa zamani Tanzania aliyealikwa kuhudhuria kuapishwa kwa Donald Trump
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
September 22, 2023
NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa
September 22, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023
September 22, 2023
RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki
September 21, 2023
Picha: Kutokea kwenye Mkutano kitaifa unaojadili upatikanaji wa Nishati nchini
September 21, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Waziri wa zamani Tanzania aliyealikwa kuhudhuria kuapishwa kwa Donald Trump
Mix

Waziri wa zamani Tanzania aliyealikwa kuhudhuria kuapishwa kwa Donald Trump

January 20, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Rais mteule wa Marekani Donald Trump mwenye umri wa miaka 70, anaapishwa saa chache zijazo Washington DC. Marekani kuwa Rais wa 45 wa Marekani akichukua kiti kinachoachwa na Barack Obama

Miongoni mwa wataohudhuria kuapishwa huko ni pamoja na Waziri wa zamani wa maliasili na utalii Tanzania Lazaro Nyalandu ambaye tayari ameshawasili Washington DC saa kadhaa zilizopita.

Nyalandu ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Singida Kaskazini ameiambia millardayo.com na AyoTV >>>> ‘Nimewasili Washington DC mapema leo na kushiriki mwaliko wa Maseneta Chuck Grassley na Joni Ernst wakiwa na wajumbe wa Baraza la wawakilishi toka Jimbo la Iowa, wakiongozwa na Steve King‘

‘Jimbo la Iowa ni mahali nilisoma chuo miaka ya nyuma, tukio la mchana huu limefanyika hapa US Capitol Hill, asubuhi kesho nitashiriki hafla ya kuapishwa Donald J Trump kwa mwaliko wa kamati ya maandalizi ya Baraza la Congress na nitatarajia kurudi nyumbani kuendelea na vikao vya Bunge’ – Nyalandu

Lazaro Nyalandu akiwa ameshawasili Washington DC tayari

ULIPITWA? Show ya Mtanzania Diamond Platnumz iliyovunja rekodi Marekani? bonyeza play hapa chini kuitazama

You Might Also Like

Naibu waziri mkuu, waziri wa nishati dkt.Doto Biteko kufungua maonesho ya sita ya madini geita

Nahodha wa Tottenham Heung-min Son ana hamu ya kusahihisha makosa ya matokeo wikiendi hii

Wanajeshi wengine watumwa kutekeleza amri ya kutotoka nje huko Kano Nigeria

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inataka walinda amani wa Umoja wa Mataifa waondoke haraka

Ulinzi wa anga wa Ukraine ndio ajenda yangu kuu kabla ya mkutano na Biden-Zelenskyy

TAGGED: TZA HABARI
Millard Ayo January 20, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Baada ya Mbwana Samatta, Thomas Ulimwengu nae kapata timu Ulaya
Next Article Maneno ya Fid Q baada ya kusikia Nay wa Mitego amesema hastahili kufananishwa nae
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
Magazeti September 22, 2023
NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa
Top Stories September 22, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023
Top Stories September 22, 2023
RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki
Top Stories September 21, 2023

You Might also Like

Top Stories

NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa

September 22, 2023
Top Stories

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023

September 22, 2023
Top Stories

Picha: Kutokea kwenye Mkutano kitaifa unaojadili upatikanaji wa Nishati nchini

September 21, 2023
Top Stories

Mabingwa wenye bidhaa za kielectronic ‘Haier’ leo wametangaza habari hii njema mbele ya Waandishi wa Habari

September 21, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?