Mix

Yaliyonifikia hivi sasa kuhusu hali ya usalama visiwani Zanzibar…. (+Video)

on

Bado headline zinazochukua nafasi kubwa kwa siku ya leo March 20 2016, ni hii ya marudio ya uchaguzi wa Zanzibar ambao awali matokeo yalifutwa kwa kile kilichoelezwa kujitokeza kwa kasoro mbalimbali wakati wa kupiga na kuhesabu kura, Uchaguzi huo ulifanyika october 25 2016 na sasa unarudiwa leo.

Ninayo taarifa ya usalama ilivyo kwa sasa  kutoka kwa Mkuu wa Operation na mafunzo kamisheni wa Polisi Zanzibar. Juma Ally ambaye anasema hadi sasa hali ya usalama visiwani humo ni  shwari na hakuna vurugu zozote zilizoripotiwa.

Hali ya usalama na utulivu imeimarika na wananchi wanapiga kura bila matatizo yoyote‘ ;-Juma Ally

Ilikupita hii Video ya Kilichomchekesha Rais Magufuli japokuwa alikua kavaa sura ya kazi IKULU?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments