Mix

Hivi ndivyo Rose Ndauka, Meya Silaa na wengine walivyosafisha Jiji

on

SAM_3748Hii ni kampeni ya Rose Ndauka ambayo kaipa jina la Ng’arisha Tanzania inayohamasisha kuweka jiji la Dar es salaam katika hali ya usafi na kupendeza ambapo kampeni hii inahusisha kufagia baadhi ya mitaa katika manispaa ILALA  ili kuzoa taka na kuzitupa maeneo husika.

Kampeni ilianza majira ya saa moja asubuhi na kumalizika saa 3 asubuhi baada ya hapo ukafanyika uzinduzi wa jiko la kuchomea taka mtaa wa Lumumba katika Manispaa ya Ilala ikiwa ni kama ishara ya kuhamasisha raia wote Kuamka na Kubadilika na kuonyesha mapenzi kwa kuweka miji katika hali safi kwa kusafisha maeneo wanayoishi.

Hizi ni baadhi ya picha za mastar mbalimbali wa Tanzania walivyojumuika na Rose Ndauka katika kampeni hii.

SAM_3746

SAM_3740

SAM_3738

DSC_8741_1

DSC_8763

DSC_8781

DSC_8741

DSC_8737Meya wa Ilala Jerry Silaa.

DSC_8721_1

 

 

 

Tupia Comments