Michezo

Usain Bolt kaamua kukatisha Interview baada ya kusikia wimbo wa Taifa…(Video)

on

Usain Bolt ameonyesha kujali zaidi wimbo wa Taifa baada ya kukatisha Interview alipokuwa akihojiwa na mtangazaji wa Televisheni baada ya kusikia wimbo wa Taifa wakati ukiimbwa.

Huu unaweza kuwa mfano mzuri kwa wanamichezo wengine kuweza kuheshimu nyimbo zao za Taifa au Taifa lingine pale zinapokuwa zikiimbwa.

Mtazame hapa..


Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Tupia Comments