Top Stories

“Usajili laini kwa vidole ni kiini macho?” Rais Samia ahoji

on

Rais Samia Suluhu Hassan amesema licha ya kufanyika zoezi la usajili laini za simu kwa kutumia vidole, vitendo vya utapeli na wizi mitandaoni bado vimeendelea kushamiri

 “Najiuliza ule usajili ulikuwa kiini macho au ni nini? Kwasababu kama tumesajili vile kila namba inajulikana, na kama kuna zisizojulikana zinatolewa na Shirika gani la simu?” Rais Samia

Amelitaka Jeshi la Polisi kusimamia suala hilo kwa kushirikiana na Taasisi ya Mtandao wa Serikali, TCRA na Taasisi nyingine za fedha za Umma na Binafsi zikiwemo Benki na Kampuni za Simu.

Soma na hizi

Tupia Comments