Habari za Mastaa

Picha 16 za utengenezwaji wa video ya wimbo mpya wa Snura-Ushaharibu.

By

on

3February 27 ni tarehe rasmi aliyoiteua Snura kuanza kushoot vipande vya video ya wimbo wake mpya unaoitwa Ushaharibu,miongoni mwa vipande vitakavyoonekana ni hivi ambavyo vimefanyika nje ya kidogo ya Dar es salaam.

Video hii inatengenezwa na Next Level chini ya Director Adam Juma,hizi ni baadhi ya picha zitakazoonekana kwenye video hiyo.

4

1

5

6

7

9

10

12

13

14

15

23

22

21

20

Tupia Comments