Habari za Mastaa

Mtoto wa Usher amemkosoa baba yake kwamba hajui kuimba

on

UsherUsher Raymond ana heshima ya pekee kwenye muziki duniani, hasa kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuimba na kudance pia, lakini unamfahamu ‘dogo’ wa miaka 7 aliyemkosoa Usher kwamba hajui kuimba?

Mtoto wa Usher, Neyvid amewahi ‘kumchana’ baba yake kuwa anavutiwa zaidi na baba yake akiwa anacheza lakini sio akiwa anaimba.

“.. aliponiona nafanya show kwenye tour yangu iliyopita.. mara nyingi alikuwa anaangalia zaidi namna ninavyocheza.. Na kuna wakati namuona anaiga ninavyocheza..”—Usher.

Unakubaliana na mtoto wa Usher Raymond kwamba baba yake hajui kuimba?

Usher &Kids Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments