Michezo

Ushindi una raha Shangwe la mashabiki wa Simba ‘Kwani vipi mnyama anafanya yake’ (video+)

on

Simba SC leo imeibuka na ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Asec Mimosa ya Ivory Coast katika mchezo uliyochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Soma na hizi

Tupia Comments