Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa kipindi cha Miaka Mitatu ya uongozi wake amefanikiwa kusimamia uwajibikaji kwa watumishi wa umma hatua ambayo imechangia kuleta maendeleo kwa haraka.
Aidha, Rais Dk.Mwinyi ameongeza maslahi ya wafanyakazi Serikali kwa kuwaongezea kima cha mishahara.