Mix

VIDEO: Kutoka eneo kulikotokea mauaji ya Polisi wanne Marekani

on

Polisi wa Dallas Marekani wamethibitisha kutokea kwa mauaji ya Polisi wanne na wengine kujeruhiwa kwa risasi wakiwa kwenye maandamano yaliyofanywa na Wananchi kupinga mauaji ya Wanaume Wamarekani weusi wawili ndani ya saa 48.

Wakati taarifa nyingine zikiendelea kusubiriwa, kuna hii video inaonyesha hali ilivyokuwa ambapo utakelezwaji wa shambulizi hili unaaminika kufanyika kutokea juu ya jengo.

ULIKOSA KUONA ALICHOONGEA WEMA SEPETU BAADA YA DIAMOND KUMPOST INSTAGRAM JUZI? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments