Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MWANANCHI Wenyeviti na wajumbe wa halmashauri kuu CCM wamemtaka JPM kufanya mabadiliko makubwa ya kukisafisha chama pic.twitter.com/oVQjj8uZQi
— millardayo (@millardayo) July 23, 2016
#MWANANCHI JK afunguka sakata la Lowassa CCM , asema chama kilipata mtikisiko mkubwa, lakini sasa hakitakufa pic.twitter.com/HDX3143NPG
— millardayo (@millardayo) July 23, 2016
#NIPASHE Polisi Dar imekusanya jumla ya mil 198.8 kama ada ya ukaguzi wa silaha kwa mkoa wa Dar es salaam. pic.twitter.com/75ktTbSs0n
— millardayo (@millardayo) July 23, 2016
#NIPASHE Deni la MSD kwa Serikali lafikia bil 142, Waziri Mwalimu akiri kuwapo kwa changamoto ya upatikanaji wa dawa pic.twitter.com/XsqZs1Fb78
— millardayo (@millardayo) July 23, 2016
#MWANANCHI Uhakiki vyeti feki wazua taharuki, watu wengi wamejitokeza kutangaza magazetini kuwa vyeti vyao vimepotea pic.twitter.com/jovOD3zpqE
— millardayo (@millardayo) July 23, 2016
#MWANANCHI Dewji atajwa kuwa miongoni mwa matajiri vijana ambao nusu ya utajiri wameamua kuutumia kusaidia maskini pic.twitter.com/zEHYYq84Na
— millardayo (@millardayo) July 23, 2016
#JamboLEO Mrema ataja moja ya mikakati yake kuwa ni kuzungumza na wafungwa aliowaita vidagaa ili wawataje 'mapapa' pic.twitter.com/v6MtHGJdT8
— millardayo (@millardayo) July 23, 2016
#HabariLEO Serikali imeonya madaktari wanaotoa rufaa za wagonjwa ilhali wao wenyewe ni mabingwa wa maradhi husika pic.twitter.com/5cFeLSWOy5
— millardayo (@millardayo) July 23, 2016
#TanzaniaDAIMA Wakati polisi wakipiga marufuku mikutano ya hadhara BAVICHA yatangaza kufanya mikutano nchi nzima pic.twitter.com/bDiJgmZ6nJ
— millardayo (@millardayo) July 23, 2016
#TanzaniaDAIMA Bodi ya mikopo ya wanafunzi elimu ya juu kutangaza majina ya wadaiwa kuanzia wiki ijayo pic.twitter.com/4UaMiH5Vww
— millardayo (@millardayo) July 23, 2016
#NIPASHE Poland imeipatia Tanzania mkopo nafuu wa bil 200 kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza matrekta pic.twitter.com/uB8auqkQ0e
— millardayo (@millardayo) July 23, 2016
#MWANANCHI Mwamunyange azungumzia uhalifu kwenye mapango ya Amboni Tanga, asema tukio lile lilikuwa la tofauti pic.twitter.com/0Wd55Fyov4
— millardayo (@millardayo) July 23, 2016
#MWANANCHI Waziri Maghembe afanya aifumua maliasili amtangaza Robert Mande kuwa kaimu mkurugenzi wa uzuiaji ujangili pic.twitter.com/Zg0hLYHHJm
— millardayo (@millardayo) July 23, 2016
#MWANANCHI Serikali imetiliana saini na Benki ya Exim ya China makubaliano ya awali ya ujenzi reli ya kati pic.twitter.com/oZdeJs7QCR
— millardayo (@millardayo) July 23, 2016
#MWANANCHI Kocha wa Yanga, Pluijm ateswa na washambuliaji wake kutotimiza wajibu ipasavyo, kukosa uwanja wa mazoezi pic.twitter.com/1zn8Vs7evl
— millardayo (@millardayo) July 23, 2016
#MWANANCHI Kocha wa Simba, Omog ameibuka na staili ya ufundishaji ktk mazoezi ambapo suala la ufundi amelipa siku 2 pic.twitter.com/8RyUQEeeS3
— millardayo (@millardayo) July 23, 2016
#CHAMPIONI Simba imeweka mkakati wa kuhakikisha inamfuata Laudit Mavugo Ufaransa ili arudishe fedha zao Sh mil 36 pic.twitter.com/yYDGai0tEY
— millardayo (@millardayo) July 23, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI JULY 23 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI