Habari za Mastaa

AUDIO MPYA: Kutoka kwa Luludiva hii inaitwa ‘Utamu’

on

Miongoni mwa audio mpya zilizonifikia weekend hii ni pamoja na ya mrembo LuluDiva kutoka Bongoflevani, ambaye ameachia audio mpya inayoitwa ‘Utamu’. Hii itakuwa ni kazi yake ya tatu tangu alipoingia rasmi kwenye muziki.

Unaweza kuchukua dakika 3:39 kuisilikiliza mtu wangu na pia unaweza kuniachia maoni yako hapo chini kwenye comment ili LuluDiva akisoma ajue umeipokea vipi hii.>>>

Video: BASATA kuhusu Tuzo za muziki Tanzania ‘KTMA’ >>>

 

Soma na hizi

Tupia Comments