Ad

Habari za Mastaa

Utafanya nini Mpenzi wako ka-cheat mara 2 na Mwalimu wako? msikilize huyu (+audio)

on

Hii simu imesikika kwenye AMPLIFAYA ya CloudsFM wakati mada iliyokua inajadiliwa ni “Ni sahihi kuchukua vitu ulivyomnunulia Mpenzi wako pale mnapoachana?” Mmoja wa Wachangiaji akaibuka na kisa cha kweli kilichomtokea ambapo pamoja na wengi kucheka sana, Jamaa amesifiwa kwa moyo wa kipekee..

LILIAN, MTANZANIA ALIYEFUNGWA MIAKA 18 GEREZANI INDONESIA ASIMULIA

Soma na hizi

Tupia Comments