Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: UTAFITI: Vijana wa Afrika Watamani Kukimbilia Ughaibuni
Share
Notification Show More
Latest News
Huyu ndie Kizz Daniel, Bilionea wa Buga, Mikasa ya Polisi mpaka kupelekwa Mahakamani
August 12, 2022
Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo
August 12, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022
August 12, 2022
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > UTAFITI: Vijana wa Afrika Watamani Kukimbilia Ughaibuni
Top Stories

UTAFITI: Vijana wa Afrika Watamani Kukimbilia Ughaibuni

June 18, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Utafiti mpya uliofanywa na taasisi ya Afrika Kusini ya Ichikowitz Family umeonesha kuwa zaidi ya asilimia 52 ya vijana 4,500 [waliohusika kwenye utafiti huo] wenye umri wa kati ya miaka 18-24 wanatamani kuondoka Afrika na kutorejea tena.

Kwa mujibu wa utafiti huo uliofanywa mwaka 2022 na kuchapishwa kwa kichwa cha habari “African Youth Survey 2022” unaonesha kuwa vijana hao wanafikiria kuondoka Afrika kwenye miaka michache ijayo huku hali ngumu ya kiuchumi [Afrika] na fursa za elimu sambamba na ajira zikiwa sababu kubwa zinazowashawishi vijana hao.

Shirika la utangazaji la Uingereza, BBC limesema limezungumza na vijana watano kutoka Nigeria na Afrika Kusini ambao wamekiri kutamani kuondoka Afrika huku wakiongezea sababu za kiusalama ikiwemo utekwaji nyara wa binadamu kwenye nchi hizo kuchangia shauku yao ya kuishi ughaibuni.

EXCLUSIVE: SUZUKI CELERIO YAINGIA TANZANIA, LITA 1 KILOMETA 26, NI ZERO KILOMITA, INAUZWA MILIONI 34

You Might Also Like

Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA June 18, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Makala: Bajeti ya Viwango inayokwenda kupunguza Makali ya Maisha kwa Wananchi wote
Next Article Uhamiaji watekeleza maagizo ya Waziri Loliondo “tutawakamata wote”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Huyu ndie Kizz Daniel, Bilionea wa Buga, Mikasa ya Polisi mpaka kupelekwa Mahakamani
Entertainment August 12, 2022
Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo
Top Stories August 12, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022
Magazeti August 12, 2022
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
Sports August 11, 2022

You Might also Like

Sports

Kauli ya Simba SC baada ya Tundaman kuingia na Jeneza ‘Simba day’ uwanja wa Mkapa

August 10, 2022
Sports

Picha 19: Uzinduzi wa Jezi mpya za Simba SC, Mashabiki wafurika Dukani DSM

August 7, 2022
Sports

Simba wafunga usajili kwa kishindo, washusha mshambuliaji kutoka Ulaya

August 7, 2022
Sports

Manara amuingiza Hersi kwenye 18 za TFF

August 7, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?