Habari za Mastaa

Utajiri wa Mpoki, asema anamiliki nyumba 11, mashamba ya mpunga

on

Mchekeshaji Mpoki ameamua kuweka wazi sehemu ya vile anavyovimiliki, ambapo amesema anazo nyunba 11 kwa hapa Dar es Salaam na mkoani pia ana viwanja ambavyo hajajenga pamoja na Shamba la mpunga la Heka 50. Play kupata taarifa kamili.

SAKATA LA SUMU YA GAS BEACH KIDIMBWI, MENEJA AFUNGUKA “WAKO POLISI, WIVU WA MAPENZI”

Soma na hizi

Tupia Comments