Habari za Mastaa

Utani wa Mwijaku kwa Millard wakifanya shopping kwenye duka la Max (Video+)

on

Ni July 23, 2021 kwenye Mall ya Palm Village Mikocheni kwa Warioba ambapo ulifanyika uzinduzi wa Duka Jipya la Max lililowakutanisha mabalozi na wadau wa GSM.

Miongoni mwa wadau waliohudhuria hafla hiyo ni Mtangazaji Millardayo, Mwana FA Mwijaku na wengine.

Ayo TV  nimekusogezea ujionee utani wa Mwijaku kwa Millard huku wakifanya shopping kwenye duka la MAX linalopatikana katika jengo la Palm Village Mikocheni Dar es Salaam

PROF. JAY, G NAKO, LULU DIVA, LINNAH WALIVYOTUA KIGOMA, WAFUNGUKA BATA LA KWENYE TRENI

 

Tupia Comments