Top Stories

Utata Familia yagoma kumzika Mtoto wao alietuhumiwa kubaka (+video)

on

Familia ya Mzee Meseyeki Mungaya imegoma kumzika kijana wao Gerald Meseyeki aliyedaiwa kufariki dunia baada ya kukamatwa nyumbani kwao nakupigwa na watu waliomchukua wakidai kuhusika na ubakaji huku wakiomba viongozi wa serikali kuingilia kati suala hilo.

MAPYA: MKULIMA MWINGINE AIBUKA ATAKA MUDA WA RAIS KUWA MADARAKANI UBADILISHWE

Soma na hizi

Tupia Comments