Kutokea Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imekwama kusikiliza ushahidi wa kesi inayomkambili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake kutokana na shahidi kuumwa.
Kwa taarifa zaidi Ayo TV & Millardayo.com imekuandaliwa hapa unaweza ukabonyeza play.
MAJALIWA ALIVYOMKARIBISHA ZUHURA YUNUS IKULU, RAIS SAMIA ATIA NENO WATU WAKAANGUA KICHEKO