Top Stories

Utata!! Vijana watano watoweka, Familia zawalilia “Mochwari, Polisi hawapo” (video+)

on

Ni Kutokea Dar es Salaam ambapo imeripotiwa kutoweka kwa vijana watano ambao hawajulikani walipo na wala hakuna mawasiliano yao.

Inadaiwa vijana hao watano wamepotea katika mazingira ya kutatanisha tangu mwaka jana 26/12/2021.

Sasa Ayo TV & Millardayo.com imekutana na Familia zao kuelezea yale tusiyoyajua kuhusiana na ndugu zao.

Soma na hizi

Tupia Comments