Top Stories

UTEUZI MPYA: Rais Magufuli atengua uteuzi Mkuu wa Wilaya na kuteua wengine (+Audio)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo July 7, 2020 amefanya uteuzi wa Mkuu wa Wilaya 1 na Wakurugenzi wa Halmashauri 5.

GONDWE AWAACHA HOI WATU IKULU KASHTUKIZWA KUONGEA NA MSIGWA KAKOSA CHA KUSEMA

Soma na hizi

Tupia Comments