Top Stories

UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Balozi Kijazi Mwenyekiti wa Bodi

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, leo Februari 27, 2020, amemteua Balozi John Kijazi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ndege za Serikali (TGEA), John Kijazi ni Katibu Mkuu Kiongozi.

Aidha Rais Dkt Magufuli amemteua Mhandisi Florian Kabaka kuwa Mwenyeki wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA), uteuzi wa viongozi hao umeanza jana Februari 26, 2020.

TAZAMA MAGARI IST TANO, BMW 1 NA ALEXI MOJA ALIZONUNUA JAMBAZI ALIEIBA BILIONI MOJA

Soma na hizi

Tupia Comments