Rais wa Tanzania Samia Suluhu amemteua Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) akichukua nafasi ya Msafiri Lameck Mbibo ambaye ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini.
Rais Samia amemteua pia Balozi Celestine Mushy kuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria.
SAKATA LA MOTO KARUME: UCHUNGUZI SIKU 7, RAIS SAMIA ATOA UJUMBE “TUME IMEANZA KAZI”