Top Stories

Uteuzi uliofanywa na Rais Samia Septemba 16, 2021

on

Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Yamungu Kayandabila kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Maendeleo(NDC), Kayandabila ni Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Rais Samia amemteua pia Dkt.Naomi Katunzi kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Baraza la TEWW.

“NANI KASEMA SIGOMBEI MWAKA 2025?, WAMEANZA KUTUCHOKOZA”- RAIS SAMIA

TAZAMA WAZIRI MKUU MAJALIWA ALIVYOFIKA OFISINI KWA MAKAMU WA RAIS KUFANYA MAZUNGUMZO

Soma na hizi

Tupia Comments