AyoTV

VIDEO: Alichokiongea Zitto Kabwe Bungeni kuhusu matukio ya utekaji

on

Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe alisimama Bungeni kuchangia mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na bajeti ya ofisi ya Waziri mkuu kwa mwaka 2017/2018. Baadhi ya aliyoyaongea Zitto ni pamoja na matukio ya utekeji yanayoendelea hivi sasa nchini.

Full video tayari nimekuwekea hapa chini….

VIDEO: Alichokisema Juma Nkamia kuhusu Waziri Mwakyembe kwenda kwenye press ya Roma

Soma na hizi

Tupia Comments