Mix

Nchi 21 duniani ambazo raia wake sio wakarimu, Afrika imetajwa moja

on

Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Wroclaw Poland wametoa list ya nchi zenye wananchi wasiokuwa wakarimu duniani ambapo Romania imeshika namba moja ikifuatiwa na Hungary ambapo kwa mujibu wa utafiti huo watu wa Romania wanaongoza duniani kwa kuchukia ukaribu na mtu, kwa wastani mtu hutaka usimame sentimita 139 kutoka alipo.

Katika list hii nchi pekee kutoka Afrika ni Uganda ambapo imeshika namba tano kwa kuwa na watu wasiowakarimu duniani, huku mtu akitaka usisimame karibu yake kwa sentimita 127. Tazama list hapo chini ya nchi 21 duniani zenye raia wasiowakarimu duniani, stori hii ni kwa mujibu wa www.indy100.com 

VIDEO: Ulimiss hii ya Tanzania kutajwa kwenye list ya nchi zisizo na furaha duniani?bonyeza play kutazama.

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments