Top Stories

Wafungwa 77 waachiwa Butimba “Nilikuwa sijui kitu sasa ni fundi ujenzi” (+video)

on

Leo December 11, 2019 Kamishina Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini ameungana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza katika zoezi la kuachilia wafungwa 79 kutoka Gereza la Butimba waliosamehewa na Rais John Magufuli na kuwataka kuwa mabalozi ili jamii ibadilike.

MUUAJI ATOKA GEREZANI KWA MSAMAHA WA MAGUFULI “NILIPIGANA DISCO, DAMU IKAVUJIA NDANI”

Soma na hizi

Tupia Comments