Top Stories

Mbunge Heche (CHADEMA) “Maagizo ya shinikizo hayanitishi, hayanirudishi nyuma”

on

Mbunge wa Tarime Vijiji, John Heche amezungumza nje ya viwanja mahakama baada ya kuachiwa kwa dhamna na kusema anamshukuru Mungu na Mawakili wake, viongozi wa CHADEMA na wananchi wa Tarime kwa kuwa nae kipindi chote.

“Nawaambia nimetoka na nipo huru, ila nasikitika jinsi hili suala lilivyoendeshwa kwani nilitoa taarifa polisi kuwa nimefiwa na nimerudi mwenyewe juzi na Saa Tatu polisi. Ila inaonekana kuna maagizo ya shinikizo yaliyonifanya nikae ndani kwa siku mbili.” -John Heche

“Kwa uhakika hayanitishi na hayanirudishi nyuma mapambano ya nchi lazima yaendelee.” -John Heche

Mbunge CHADEMA, John Heche jinsi alivyofikishwa Mahakamani

Soma na hizi

Tupia Comments