Habari za Mastaa

PICHA5: Muonekano wa Rapper Young Dee baada ya kuingia Gym

on

Baada ya miezi minne Young Dee kurudi katika uongozi wake wa zamani Staa huyu ambaye anafanya vizuri kwenye midundo ya Hiphop nchini Tanzania ameamua kubadilisha muonekano wake na hapa nimekusogezea picha  5 zikimuonesha Rapper Young Dee katika muonekano mpya baada ya kuingia Gym, Mtu wangu usisahau pia kuniachia comment yako hapa chii na mkali huyu ataiona hapa

eeeeer

dc 34 1

ULIMISS HII YA YCEE KUTAJA WASANII KUTOKA BONGOFLEVANI ANAOTAMANI KUFANYA NAO COLLABO ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…

 

Soma na hizi

Tupia Comments