Bunge la Bajeti linaendelea Dodoma huku Wabunge wakichangia mapendekezo ambapo Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega akiwa mmoja waliochangia mapendekezo ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo akiitumia nafasi hiyo kumshauri Rais Magufuli kununua meli ya kisasa kwa ajili ya uvuvi ili kukuza uchumi wa nchi kwa kiwango kikubwa.
VIDEO: Kipindi cha maswali na majibu Bungeni May 23, 2017