Top Stories

Uvumilivu umemshinda IGP Sirro “Watanzania nivumilieni tunapambana nao” (+video)

on

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amekutana na Makamanda wa Polisi wa Mikoa mitano ya Kanda ya Ziwa, kwa lengo la kuweka mikakati na mpango kazi wa pamoja katika kushughulikia matukio ya mauaji yanayojitokeza.

Akiwa Mkoani Shinyanga IGP Sirro, amewaonya wananchi kuacha kujihusisha na vitendo vya imani za kishirikina, vinavyopelekea mauaji.

MWANAFUNZI AHOJI KONDAKTA KWENYE NDEGE, MTAALAMU AMPA JIBU

Soma na hizi

Tupia Comments