AyoTV

VIDEO: Eneo walipouwawa Askari Polisi wanne Mbande Dar

on

Usiku wa August 23 2016 moja ya tukio lililotawala katika baadhi ya mitandao ya kijamii ni pamoja na kuuwawa kwa Askari Polisi wanne Mbande nje kidogo ya Dar es salaam baada ya majambazi kuvamia eneo lililokaribu na Bank ya CRDB.

Ayo TV ilifika eneo lilipotokea tukio hilo na hapa chini nimekusogezea video yake…

ULIIKOSA HII YA WAZIRI NCHEMBA KUHUSU RAIA WA CHINA KUFANYA UNYANYASAJI GEITA

Soma na hizi

Tupia Comments