Habari za Mastaa

Msikilize Miss Tanzania kabla ya kupanda ndege ‘Nitazungumza Kiswahili’

on

Leo November 9, 2018 Miss Tanzania, QueenElizabeth Makune ameelekea nchini China kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Miss World ambapo amesema mwaka huu Watanzania watarajie ushindi kwa kumpigia kura pamoja na serikali kutoa sapoti.

Akizungumza na Ayo Tv, QueenElizabeth amesema akifika China atazungumza lugha ya Kiswahili kama wenzake wanaozungumza lugha zao, hivyo Watanzania watarajie ushindi kwani suala hilo sio la kwake bali ni la nchi kwa ujumla.

“Naomba serikali na Watanzania wasapoti suala hili kwa kunipigia kura waonyeshe kama wanahusika na suala hilo,”amesema.

FULL VIDEO: Tabasamu la Miss Tanzania akikwea Pipa kuelekea China

Soma na hizi

Tupia Comments