Michezo

Uwanja umejaa, mashabiki wa Simba waomba kuongezewa uwanja (video+)

on

Leo uwanja wa Benjamin Mkapa ndio kilele cha wiki ya Simba yaani Simba Day ambapo mashabiki wa Simba SC wamejitokeza kwa wingi hadi sasa tiketi zimeuzwa zote.
Na inaelezwa kwamba  uwanja wa Benjamin Mkapa una uwezo wa kuchukua mashabiki 60,000 ambapo katika kilele cha wiki ya Simba tiketi zimeisha zote.
Ayo TV & Millardayo.com imeweka kambi uwanjani hapo na hapa nimekusogezea video hii ushuhudie namna uwanja ulivyojaa huku mashabiki wakiomba kuongezewa kwa uwanja ili wapate mahali pakukaa.

VIDEO: KIKOSI CHA SIMBA KILIVYOINGIA KWA MKAPA, KUMINYANA NA TP MAZEMBE

Soma na hizi

Tupia Comments