Michezo

Uwanja wa Jamhuri umefungiwa

on

Leo September 28, 2020 Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imeufungia uwanja wa mabatini unaotumiwa kwa michezo ya nyumbani na klabu ya Ruvu Shooting kwa kukosa sifa za kimashindano.

 

TAZAMA VIJANA 997 WAKIHITIMU MAFUNZO YA AWALI YA KIJESHI

Soma na hizi

Tupia Comments