Michezo

“Uwepo wa Morisson uwanjani ni uhakika wa goli” Gomez

on

Kocha mkuu wa Simba, Didier Gomes amemwagia sifa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Bernard Morisson akisema atakuwa na mchango mkubwa kwa timu hiyo.

Gomes amesema kama mchezaji huyo ataacha mashara yake na kuwa makini basi kuna uwezekano mkubwa akachukuliwa na timu kubwa Afrika.

“Nafurahi kuona adhabu yake imekwisha na anarudi kikosini ni mchezaji ambaye uwepo wake uwanjani unakupa uhakika wa bao au ushindi bila kujali ukubwa wa wapinzani, “ Gomes.

MWAMBA WA MIUJIZA, MAJINI, UNAMEZA WATU KICHAWI, MELI ILIZAMA “WANAFUNZI WALIMEZWA, WATU WANAKUFA”

Soma na hizi

Tupia Comments