Habari za Mastaa

Uwoya kafunguka kuhusu mahusiano yake mapya ‘Mtamuona tu’

on

Usiku wa June 13, 2021 mwigizaji Irene Uwoya alimfanyia mtoto wake party ya kusherehekea sakramente ya kwanza ya mtoto wake ambapo alialika watu wengi wakiwemo maarufu, baada ya shughuli hiyo alikutana na waandishi wa habari kuzungumza machache, miongoni aliyoyazungumza ni kuhusu Mtoto wake pamoja na mahusiano yake mapya.

‘Mtamuona tu itakapofika wakati sahihi na mwanangu Krish anamtambua ila nashukuru kumaliza hili la kwanza la mtoto wangu na ningependa kuwashukuru watu wote walikuja leo kwani kitu alichopokea Krish ni kikubwa mno’- Irene Uwoya

Soma na hizi

Tupia Comments