Habari za Mastaa

VIDEO: Push up za Ben Pol vs Jux FIESTA Kigoma

on

Usiku wa Oct 1, 2017 mji wa Kigoma ulishuhudia msimu wa Fiesta kwa mara nyingine tena ambapo wasanii Juma Jux na Ben Pol walikuwa miongoni mwa wasanii waliotoa burudani katika uwanja wa Lake Tanganyika na hichi ndicho walicho kifanya kwenye stage KIGOMA.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Full Video

VIDEO: SHANGWE la Nandy na Bright Fiesta Kigoma

Soma na hizi

Tupia Comments