Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Habari za Mastaa

MARUFUKU TCRA: Imemfikisha WEMA SEPETU mahakamani ‘Wazifute mara moja’

on

Leo November 1, 2018 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA imetoa onyo kwa watu wanaochapisha video na picha za Ngono kupitia mitandao ya kijamii.

Kauli ya TCRA imetolewa na Mkurugenzi wa Sheria, Johanes Kalungula baada ya msanii Wema Sepetu kufikishwa mahakamani na kusomewa kosa moja la kuchapisha picha za video za ngono kupitia kurasa yake ya Instagram.

“Mitandao isitumike vibaya, itumike kujenga maadili mema wote wanaofanya hivyo TCRA imejipanga kukabiliana na hilo, tunawasihi wenye picha za namna hiyo wazifute mara moja kutoka kwenye simu zao, endapo wasipofanya hivyo watakumbana na mkono wa sheria,”

FULL VIDEO:WEMA AKITOKA MAHAKAMANI BAADA YA KUPATA DHAMANA

KESI YA WEMA: MAHAKAMA YAMPA MASHARTI KUHUSU INSTAGRAM YAKE

Soma na hizi

Tupia Comments