Top Stories

“CHADEMA haijasajiliwa”, Tamko latolewa na kigogo “Tunachukua hatua nzito” (+video)

on

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA , kimewataka Wagombea wa chama hicho kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao wameenguliwa kwa madai kuwa wamekosea kujaza fomu zao kukata rufaa.

Akiongea na Waandishi wa habari Mkurugenzi wa Itifaki na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema mbali na hilo ameeleza kuwa wataitisha vikao vya dharura kujadili hali hiyo ambayo wamedai kuwa imejitokeza katika maeneo mengi nchini.

ZITTO KABWE KUHUSU UTEUZI WA CAG MPYA, ADAI NI WA KUFICHA WIZI, UFISADI

Soma na hizi

Tupia Comments