Mix

PICHA 10: Itakugharimu Tsh. Bilioni 36.4 kununua Jumba hili la kifahari

on

Leo nimekutana na picha za Jumba la Mwanasiasa, Mjasiriamali na Mwanamitindo wa Uingereza Michelle Mone lililopo Cote d’Azure Kusini mwa Ufaransa ambalo ameamua kuliingiza sokoni akiliuza kwa Paundi milioni 13 ambazo ni takribani Tsh. Bilioni 36.4.

Hizi hapa PICHA 10 za muonekano wa ndani na nje ya jumba hilo!!!

Mtanzania ambaye akikosa siti ya mbele kwenye daladala hasafiri!!!!

Soma na hizi

Tupia Comments