AyoTV

VIDEO: Baada ya kipigo cha 3-1 kutoka Simba, Kocha wa JKT kwa upole amekubali

on

Kocha Mkuu wa JKT Tanzania Abdallah Mohamed baada ya kupoteza mchezo kwa magoli 3-1 dhidi ya Simba SC, amekubali kuwa walizidiwa mchezo.

Abdallah ameeleza kuwa Simba SC ilifanikiwa kuwadhibiti vizuri wachezaji wake, kwani mabeki hao ni warefu kuliko wachezaji wake ndio maana aliwaambia wacheze mpira chini.

VIDEO: Zahera katoa povu “Mpango wa kukwamisha Yanga haujaanza leo

Soma na hizi

Tupia Comments