AyoTV na millardayo.com imempata Mkurugenzi Mkuu wa Chuo VETA, Dr. Pancras Bujulu anatuelezea gari lililorekebishwa na VETA ambalo alilitumia Mwalimu Nyerere wakati akidai Uhuru wa Tanzania katika kipindi cha Miaka 1954.
Dr. Bujulu anatueleza kuwa gharama ya kulirekebisha gari hilo imezidi Milioni 4 na utengenezwaji wake umefanywa na Vijana wanaochukua Mafunzo VETA mkoani Kilimanjaro.
DEREVA PEKEE ANAEWEZA ENDESHA GARI LA NYERERE LA MWAKA 1954