Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: App maalumu kuzinduliwa China, unakodi Mlinzi kwa Tsh. 22,000 kwa saa
Share
Notification Show More
Latest News
Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
January 27, 2023
Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao
January 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > App maalumu kuzinduliwa China, unakodi Mlinzi kwa Tsh. 22,000 kwa saa
Top Stories

App maalumu kuzinduliwa China, unakodi Mlinzi kwa Tsh. 22,000 kwa saa

August 22, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Najua wapo watu wangu ambao wanapenda na wanafuatilia masuala ya Sayansi na Teknolojia ambayo kila siku yamekuwa yakichukua headlines sehemu mbalimbali duniani kwa kufanya ugunduzi wa mambo.

Leo August 22, 2017 ninayo hii ambayo unaambiwa kuna good news imetangazwa kwa watu wanaohitaji usalama wanapokuwa katika hali ya hatari.

Kampuni moja katika mji wa Qingdao, China inatarajia kuzindua app mwezi ujao ambayo itawawezesha watu kukodi walinzi wao binafsi ambapo unaambiwa bei itakuwa ni kati ya yuan 70 hadi 200 ambazo ni pound 8.15 hadi 23.38, sawa na Tsh. 22,000 hadi 64.400 kwa saa.

Inaelezwa kuwa app ambayo imeanzishwa kwa ushirikiano kati ya kampuni ya Qingdao Aladdin Group na kampuni ya ulinzi itaanza rasmi kutumika mwezi ujao ikiitwa Jinyiwei.

Mmoja wa wataalamu wa app hiyo Li Shangshang, aliuambia mtandao wa China Daily:>>>”App imewaunganisha zaidi ya maafisa 50,000 wa ulinzi katika makampuni 47. Upatikanaji wao utaoneshwa kwenye ramani ya app katika muda halisi.”

Walinzi wote watapewa mafunzo maalumu na watatakiwa kuvaa sare wakati wanafanya kazi ambapo Li alisema: “Ambao watajihisi hawatokuwa salama, hasa wakati wanakwenda sehemu fulani au kubeba vitu vya thamani.”

Mfumo utaokaofuatilia mwenendo wa mabasi ya abiria popote litakapokuwa..tazama hapa chini!!

You Might Also Like

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”

Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa

Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao

Magaya, Gwajima, Waziri Mkenda wasaka dawa dhidi ya Ukatili

Alichokifanya Rais Samia kwenye siku yake ya kuzaliwa, Ulega afunguka “Ametoa kwa Yatima”

TAGGED: Teknolojia, TZA HABARI
Millard Ayo August 22, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mrembo kafanya upasuaji mara 13 afanane na Ivanka Trump…kisa??
Next Article BREAKING: Sumaye afunguka ishu ya Serikali kuchukua mashamba yake
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
Top Stories January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
Top Stories January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
Entertainment January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
Entertainment January 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

January 27, 2023
Entertainment

Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 27th Jan Elements Masaki

January 27, 2023
Entertainment

Mabibi na Mabwana Nuh Mziwanda ametuletea hii single mpya ‘Nikizipata’

January 26, 2023
Entertainment

PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!

January 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?