Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Diamond kwa mara ya kwanza tangu aachwe na Zari

on

Stori za Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz bado zinaendelea kushika headlines  hasa kuhusu uhusiano wake na Zari ambapo leo February 16,2018 kupitia instagram account ya Diamond amekuwa akipost video clips  zinzaohusiana na kuumizwa kitu kinachopelekea watu kuhusisha na kuachwa kwake na Zari the bosslady.

Diamond Platnumz amepost video kupitia ukurasa wake wa instagram wa wimbo wa Khalid Chokaraa kuachwa

Soma na hizi

Tupia Comments